Thursday, July 11, 2013

FORTUNE ATEMBELEA AZAM COMPLEX


azam 61200
Quinton Fortune, Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye kwa sasa anasomea fani ya ualimu wa soka kwenye kompaundi ya Manchester United alipotembelea Azam FC Chamazi leo kwa mwaliko wa DHL, Fortune alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC na kusema hajawahi kuona kitu kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata kwenye nchi yake ya Afrika ya Kusini. (HM)

azam 0f816
Fortune akipasha
azam2 bd22c
azam3 67ab0

No comments:

Post a Comment