Thursday, July 4, 2013

FERGUSON AMEAMUA KUPUMNZIKA HUKU NA BIBI

tenis 072edSir Alex Ferguson akiwa na mkewe wakiangalia Tenis (HM)
tenis2 a8b47
tenis3 ba5a6
tenis4 528a1
“Ebwana michezo sio soka tu” leo hii kali zaidi ni kuwa, kocha mkuu wa zamani Manchester United Sir Alex Ferguson alihudhuria katika michuano ya Tenisi ya  Wimbledon kumtazama Muingereza Andy, huku timu yake ya zamani ikianza mazoezi chini ya meneja mpya David moyes.
Ferguson aliyestaafu kuifundisha United msimu uliopita baada ya kudumu kwa miaka 27, sasa kiti chake cha moto kimebakia kwa kocha mpya wa timu hiyo David Moyes.
Wakati Moyes akianza kazi katika uwanja wa mazoezi wa Carrington, Ferguson na mke wake alionekana kuwa na furaha katika michuano hiyo, huku akisahau mawazo ambayo angeyapata kutokana na Rooney kukataa kubakia Old Trafford. Chanzo: Baraka Mpenja

No comments:

Post a Comment