Stori: Chande Abdallah
Msanii wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ amesema anamtakia mafanikio mema kinda la filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya kujitangaza kuwa amebadilika.
“Kwanza
nampongeza na namuombea kwa Mungu atimize malengo yake. Ni jambo zuri
kama ameamua kujikita katika kazi zaidi ya kitu chochote,” alisema Dk.
Cheni.CHANZO
No comments:
Post a Comment