Thursday, July 18, 2013

AYAAA ZIMEMWAGIKA

Wakulima  wakazi  wa Mkungugu  Isimani wilaya ya  Iringa  ambao  majina yao hayakuweza  kupatikana mara  moja  wakikusanya alizeti zilizomwagika wakati  wakisafirisha  kutoka  shambani kwenda sokoni

No comments:

Post a Comment