
Miraji Kikwete akizungumza machache na Ummy Wenselaus 'Dokii' viwanja vya Lidaz

Ras Simaga akipita na zana zake baada ya kutoa heshima za mwisho.

Huyu Ras alishikwa sana na uchungu mpaka akawa anamwaga machozi kwenye msiba wa Mangwea

Huyu Baunsa sijui kwa nini aliganda hapo? Si angekaa pembeni tu.

Sio wote wanao kuja msibani wanakuja kwa ajili ya kufariji wafiwa wengine kuuza sura tu imradi aonekane alikuwepo.

Jamaa wanajipongeza kwa moja moto ingine ya uvugu vugu msibani

Hapo wengine ukiwauliza hata jina la kwanza la Mangwea ni nani utakuta wanatumbua macho tu lakini walikuwepo.
No comments:
Post a Comment