Thursday, June 13, 2013

TRAFFIC ALIYEPIGA PICHA ZA UCHI

wp-amisa 4582c
Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu.
Kamanda wa Kanda hiyo, suleiman Kova alisema jana hatua hiyo imefikiwa baada ya askari huyo kukiuka maadili ya jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za uchi zilizoonekana katika mitandao.
"Jeshi halitasita kumchukulia hatua askari mwingine atakaye.
chanzo: HabariLeo

No comments:

Post a Comment