MSIGWA
KISIWA CHA MATUKIO NA KUPASHANA HABARI
Tuesday, June 4, 2013
NYOMI ILIYO MPOKEA MANGWEA
Mwili wa Mangweha ukipelekwa kwenye gari.
Umati wa watu ukiwa umelizunguka gari lenye mwili wa Mangweha.…
Mwili wa Mangweha ukipelekwa kwenye gari.
Umati wa watu ukiwa umelizunguka gari lenye mwili wa Mangweha.
Rafiki wa karibu wa marehemu, msanii TID 'Mnyama' akielekea kwenye gari lililobeba mwili wa swahiba wake.
Gari lililobeba mwili wa marehemu Mangweha.
Wananchi wakikimbia na gari lenye mwili wa Mangweha.
Waombolezaji wakiwa na simanzi wakati wa mapokezi hayo.
Wanamuziki Juma Nature na Inspector Haroun nao walikuwepo.
(Picha na Richard Bukos / GPL)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment