TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati ya
Maandalizi ya Mazishi ya Albert Mangweha tunapenda kuwaatarifu rasmi
kuwa mwili wa marehemu Ndugu yetu, mpendwa wetu Albert Mangweha
utawasili kesho (leo) tarehe 04/06/2013 saa nane mchana na ndege ya Shirika la
Ndege la Afrika Kusini kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere (Terminal One).
Tunaomba mjitokeze kwa wingi kwa ajili ya kumpokea ndugu yetu, mpendwa wetu Albert Mangweha.…
No comments:
Post a Comment