Friday, June 7, 2013

MTOTO AOKOTWA KATIKA DAMPO IRINGA

 mwili  wa  kichanga  hicho  kilichotupwa katika  dampo baada ya  kutolewa  kwenye dampo hilo 
 Mwenyekiti  wa  serikali ya mtaa wa Kota Mlandege  Bi Mida Mkwawa akielezea  tukio hilo 
 Wananchi  wakishuhudia tukio  hilo 
 mwili wa  mtoto  huyu  baada ya  kutolewa katika dampo 
 Polisi  wakiwasili  eneo la  tukio  
 Mwenyekiti  wa serikali ya mtaa wa kota Mlandege akitoa maelezo kwa askari  polisi 

 wananchi  wakiwa  wamelizunguka gari la  polisi  kushuhudia mwili  wa mtoto  huyo 
na mzee wa matukio daima

No comments:

Post a Comment