Wednesday, June 5, 2013

MASTAA WAMEMUAGA HIVI MANGWEA


Mwili wa Albert Mangwea ukiwa umefunuliwa tayari kwa kuagwa.



Wamamchi mbali mbali wakipita kutoa salamu za mwisho



Joti nae hakuwa nyuma kutoa salamu za mwisho kwenye sanduku la Mangwea



Diamond 'sukari ya warembo' nae alikuwepo



Rais wa Tip Top Madee nae alikuwepo



Hivi ndivyo ilivyo kuwa viwanja vya Leaders

Msafara sasa umeanza kuelekea Moro.

No comments:

Post a Comment