Wednesday, June 5, 2013

HATA ULAYA KUNA MAFURIKO



Mji wa Ujerumani ukiwa umezungukwa na maji


Hapa sio Jangwani ni Ulaya huko nako kimenuka



Wananchi wakiokolewa na boat baada ya nyumba zao kufurika maji


Wazee wanapiga hesabu jinsi ya kukausha maji sebureni na chumbani.

 

Huyu hii teknolojia atakuwa kaitoa Afrika ya kuvaa rambo miguuni alikosa buti,

No comments:

Post a Comment