Tuesday, June 4, 2013

DADA ANAE KUNG'UTA BUS LA NDENJERA COACH HUYU HAPA


Dereva Nusura Maguluko akimwomba Mungu kabla ya kuanza safari

Dereva akiwa kazini
 

Wafanyakazi wa basi la Ndenjela kabla ya kuanza safari

PICHA KWA HISANI YA: Mbeya yetu







Dereva Mwanamke Nusra Maguluko, akizungumza wakati alipoalikwa mbele ya viongozi kutoa ushuhuda kuhusiana na kazi yake ya Udereva wa magari makubwa kama Mwanamke, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Kampuni ya usafirishaji ya DHL, iliyofanyika siku za hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Nusra alialikwa katika hafla hiyo baada ya kuwa ni mmoja kati ya wanawake waliopata tuzo za Usafirishaji kutoka kampuni hiyo ya DHL.








Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bila, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkurugenzi wa DHL na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman, wakiwa katika picha ya pamoja na Nusra Maguluko, wakati wa hafla ya uzinduzi wa jingo la DHL, hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment