Thursday, May 2, 2013

TAUSI AKIWAJIBIKA JUKWAANI

   Tausi akiwa amelivamia jukwaa na kunengua na Mzee Yusuf.

      …Akionyesha ‘matindo’ ya aina yake.
      …Akiserebuka na dada yake.
      …Akiwa jukwaani amepozi na Khadija Yusuf.
Mpenzi wa miondoko ya ‘rusha roho’ (taarab), Tausi Mdegela, ambaye alikuwa ni  mfupi zaidi kuliko mashabiki wote waliojitokeza kushuhudia onyesho la bendi ya taarab ya Jahazi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Dar Live alitoa burudani kali kwa mashabiki waliotimba katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala jijini Dar es Salaam.
Kwa hisani GPL

No comments:

Post a Comment