Monday, May 6, 2013

MCHEZO WA KAMBA HUU VUTA NIKUVUTE

11 51d2e
Wafanyakazi ofisi ya Halmashauri Manispaa ya Iringa wakiburuzwa na Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkoa katika mchezo wakuvuta kamba (siku ya mei mosi)

12 dc9fa
Wafanyakazi wa ofisi ya mkoa Iringa wa kivutana kamba na wafanyakazi ofisi ya Halmashauri ya Manispaa na kuibuka wa shindi :Picha na Said Ng'amilo (mjengwablog IRINGA)

No comments:

Post a Comment