Mwanamuziki, Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba (kulia) akipata mawili-matatu
kutoka kwa mmoja wanakamati ya mazishi, Michelle Louse Hancock
(kushoto).
MAOMBOLEZO ya msiba wa aliyekuwa
mwanamuziki wa kizazi kipya, marehemu Albert Mangwea, yameanza nyumbani
kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambako jana jioni
ndugu, jamaa na majirani walikutwa wakiwa katika matayarisho ya
kuupokea mwili wa marehemu.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
No comments:
Post a Comment