M TO THE P HUYU HAPA AKIENDELEA NA MATIBABU
"Msanii M To The P aliyekuwa na marehemu
Albert Mangwea, M To The P anaendelea vizuri na matibabu kama
anavyoonekana kwenye picha hospitalini Helen Joseph huko Afrika ya
Kusini..endelea kusikiliza Clouds FM na kutembelea www.cloudsfm.co kwa more stories...R.I.P Ngwair.
No comments:
Post a Comment