Thursday, May 30, 2013

KUMBE CUF WALIKUWA HAWAKIJUI HIKI

Kwa kweli watanzania wengi hatupendi kuambiwa ukweli, alichosema Wenje hakuna cha kuongeza wala kupunguza,
na mimi sitaweza kumshauri aombe radhi kwa hilo. Kwa nini wao (CUF) wasikubali huo ukweli kuwa ni member wa liberal? wakati wapo kwenye list yao? Ugumu upo kwenye kumeza ukweli wote kuwa ukikaa na mbuzi lazima utakuwa na harufu ya mbuzi tu.

Hii ndio sehemu ya liberal wakitete haki za watu wa jinsia moja.

Liberal International(LI) was the only political international present at the world conference of the International Gay and Lesbian Association, where we offered a workshop and connected with hundreds of LGBT activists from around the world. LI's leadership calls for unity and partnership between liberal politicians and LGBT activists around the world.
(source: LI Statement on International Day against Homophobia 2013 - Human Rights - Politics - Liberalism )

Hii ni list ya wanachama wa liberal(kwa ufupi, ila zipo nyingi)






source: Full Members - Members - Liberalism

Haya sasa, CUF wanapigakelele za nini? wao cha muhimu ni kujitetea na sikusema kimetukanwa.
Ila kwa upande wa CCM kuna dalili za kuficha ukweli hapo kuhusu hiyo hotuba ya upinzani maana ukiisoma kwa makini kuna mambo makubwa, so hii nayo naona kama ni mipango tu ya kuizima isisomwe.

Toka kwa JUKUMU-JF

No comments:

Post a Comment