Wednesday, May 22, 2013

KIKWETE KWENYE UZINDUZI WA IRINGA-DOM


jk3 0c5da
JK akiweka jiwe la msingi Barabara ya Iringa –Dodoma .
jk4 142b5
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na wananchi wa Iringa
jk5 eb45f
Baadhi ya wananchi walio hudhulia

jk f4cf9


 Rais Jakaya  kikwete  wa nne  kushoto akiwa na  viongozi mbali mbali akiwemo  waziri  wa ujenzi Dkt John Magufuli wa wa sita  na waziri  wa nchi ofisi ya  waziri mkuu  sera na uratibu wa bunge na mbunge wa jimbo la Isimani Bw. Wiliam Lukuvi nyuma viongozi wa  mahakama na viongozi  wa serikali
 
 Picha ya pamoja na  watumishi  wa TANROADS mkoa  wa Iringa na Rais Jakaya  Kikwete 
 
 Rais  Kikwete akiangana na wananchi  waliofika kushuhudia zoezi la uwekaji jiwe la Msingi barabara  ya lami kati ya Iringa - Dodoma
 Wafanyakazi wa kampuni ya kichina  wakilalamika mbele ya Rais Kikwete  juu ya kupunjwa fedha

JK akipanda mti baada ya kuweka jiwe la msingi
Picha na Said Ng'amilo (mjengwablog)

No comments:

Post a Comment