RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein katikati wakiwa katika picha ya pamoja na
Viongizo wa Kampuni ya Teknolojia ya mawasiliano ya habari (ZTE) nchini
China,pamoja na ujumbe aliofuatana nao,mara baada ya kuwasili katika
Ofisi za kampuni hiyo huko katika Mji wa Nanjing jimbo la Jiangsu nchini
China akiwa katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa jamhuri ya Watu
wa China.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifuatana na Makamo wa Rais wa Kampuni ya Teknolojia ya
mawasiliano ya habari (ZTE) Bibi Chen Jie,wakati alipotembelea Ofisi za
Kampuni hiyo katika Mji wa Nanjing jimbo la Jiangsu nchini China akiwa
katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya jamhuri ya Watu wa
China.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,pamoja na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu vifaa mbali mbali
vya mawasiliano zikiwemo simu katika Ofisi ya Kampuni ya Teknolojia ya
mawasiliano ya habari (ZTE) wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo
akiwa katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya jamhuri ya
Watu wa China,katika Mji wa Nanjing Jimbo la Jiangsu.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein katikati pamoja na ujumbe wake,wakiwa na
Mwenyeji Makamo wa Rais wa kampuni ya Teknolojia ya Mawasiliano ya
Habari (ZTE) Bibi Chen Jie,(wa pili kushoto) wakiangalia Simu na kuapata
maelezo ya matumuizi ya Simu hizo ,walipotembelea sehemu mbali
mbali,akiwa katika ziara ya Kiserikali ya Mualiko wa kukuza ushirikiano
katika Nyanja za kiuchumi na Serikali ya jamhuri ya watu wa China.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(kushoto) Mama Mwanamwema Shein,(wa pili) na Balozi Mdogo wa China
anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen QiMan, wakimsikiliza Dkt DAI
XUELONG, akiwaonesha baadhi ya vifaa vya mawasiliano vilivyotengenezwa
na Kampuni ya ZTE,alipotembelea Ofisi za kampuni hiyo akiwa katika ziara
ya Kiserikali nchini China katika Mji wa Najing jimbo la Jiangsu.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein katikati pamoja na ujumbe wake,wakielekea
katika chumba maalum cha Mitambo ya Teknolojia ya Mawasiliano katika
Ofisi za Kampuni hiyo Mjini Najing Jimbo la Jiangsu nchini China,katika
ziara rasmi ya Kiserikali.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa wamevalia Vazi Maalum wakati
walipoingia katika chumba cha Mitambo ya Teknolojia ya Mawasiliano ya
Habari, katika Ofisi za Kampuni hiyo Mjini Najing Jimbo la Jiangsu
nchini China,katika ziara rasmi ya Kiserikali.
ais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Madaktari wakati alipotembelea Hospitali Kuu ya Mjini
Nanjing jimbo la Jiangsu Nchini China akiwa katika ziara ya kiserikali
katika kukuza uhusiano.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
(wa tatu kulia) na ujumbe wake alipozungumza na Uongozi wa Hospitali ya
Mji wa Nanjing katika jimbo la Jiangsu, wakati alipotembelea Hospitali
hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali katika kukuza uhusiano na
mashiririkiano ya kiuchumi
Baadhi
ya madaktari wa Drum Tower Hospital wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa na
ujumbe wake akizungumza katika kikao cha kubadilishana mawazo na uongozi
wa Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya jamhuri
ya Watu wa China
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto)Mama mwanamwema Shein kulia na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo Omar Yussuf
Mzee,wakiangalia picha baada ya kumalizika kikao cha pamoja na uongozi
wa Drum Tower Hospital
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiangali Picha
Mfano wa majengo ya Drum Tower Hospital ,walipokuwa wakitembelea sehemu
mbali mbali za ofisi ya Hospitali hiyo,katika ziara ya Kiserikali nchini
China,kwa mualiko wa Serikali ya jamhuri ya Watu wa Nchi hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakitembelea
sehemu mbali mbali za Drum Tower Hospital iliyopo katika Mji wa Nanjing
Jimbo la Jiangsu chini China,kwa ziara ya Kiserilkali,kwa mualiko wa
Seikalia ya jamhuri ya Watu wa Nchi hiyo,(kulia) Rais akiwa Prof Dr.Yi
Tao Ding, wa Chuo Kikuu cha Afya katika DrumTower Hospital
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiapata maelezo kutoka kwa Prof Zhou Chang,wakati alipotembelea
sehemu za Uchunguzi wa Afya ya binadamu kwa kutumia kompyuta maalum
katika Drum Tower Hospital,Mjini Nanjing katika jimbo la jiangsu kwa ziara ya kiserikali
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake,pia na Uongozi wa Drum
Tower Hospital,baada ya kumaliza kutembelea Ofisi pamoja na Sehemu
mbali mbali za kutoa huduma ya Afya,akiwa katika ziara ya mualiko wa
Kiserikali nchini China
Wanafunzi
wa Tanzania wanaosoma Elimu za Juu katika Vyuo Vikuu katika Mji wa
Nanjing Jimbo la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ukumbi wa mikutano
wa Sofitel Luxury Hotel,katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Wanafunzi
wa Tanzania wanaosoma Elimu za Juu katika Vyuo Vikuu katika Mji wa
Nanjing Jimbo la Jiangsu nchini China,wakisikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
wakati alipozungumza nao leo katika ukumbi wa mikutano wa Sofitel
Luxury Hotel, Mjini Nanjing katika jimbo la Jiangsu akiwa katika ziara
ya Kiserikali
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto) akiwa na Mama Mwanamwema Shein,kushoto pamoja na
Mawaziri na Maofisa aliofuatana nao katika ziatra ya Kiserikali nchini
China,Rais alipata muda wa kuzungumza na wanafunzi wa Tanzania
wanaosoma katika Vyuo Vikuu mbali mbali, na aliwaelezea hali halisi
ya Utulivu na Amani Iliyopo nchini Tanzania ambapo aliwataka kuondokana
na wasiwasi
No comments:
Post a Comment