Thursday, May 30, 2013

CCM ZIARANI MKOA WA NJOMBE


1 24fd6
KATIBU Mkuu wa CCM, Kanali mstaafu, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kulia) wakiwa kwenye ufukwe wa ziwa Nyasa, kwenye mwambao wa ziwa hilo katika Kijiji cha Lupingu, Kata ya Lupingu Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe, leo Mei 29, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama na kusikiliza kero za wananchi katika mkoa huo. Wengine ni Mbunge wa Ludewa, Deo Philikunjombe na Mbunge wa Mwibala Kange Lugora


2 145f2
3 af45a
4 0b37e
5 854e9
6 c7c5c
7 2aac9
12 a0019
13 c815b
32 a4ed9
33 035d7
43 7506e
62 17cff

 Mganda huu, nafikiri mnaukumbuka sana.

No comments:

Post a Comment