BREAKING NEWS: LWAKATARE AFUTIWA MASHTAKA YA UGAIDI
Mahakama
Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa
kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la
utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.
No comments:
Post a Comment