Saturday, July 13, 2013

MIZENGO KAYANZA AKIWA MKOA WA NJOMBE

NJOMBE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye  kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa  wakati alipoziandua kinu chao cha  kukoboa  kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe  Julai 11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawenge  wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia kwake ni Mbunge wa ludewa Deo Filikunjombe. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu  (kulia) wakitazama kahawa inayokaushwa  baadaya kukobolewa  wakati Waziri Mkuu alipozindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 213. Kushoto ni Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  walimu wa shule ya sekondari ya Chief Kidulile  wilayani Ludewa kabla ya kuweka jiwe la msingi la Jengo la maabara  akiwa katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 11, 2013. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Chef  Kidulile wialyani Ludewa baada ya kuweka jiwe la msingi la maabara akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia ni Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wakwekezaji kutoka china na washirika wao  wa hapa nchini ambao wamewekeza katika mradi wa chuma wa Liganga, baada ya kuwasili mjini Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
 Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda (watatu kushoto) akislebuka pamoja na wanwake wa Ludewa katika mkutano wa hadahara uliohutubiwa na Wairi Mkuu, MizengoPinda akiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Wasnii ya Ludewa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Ludewa Julai 11,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment