MME AMCHOMA KISU MKE BAADA YA KUMFUMANIA
Mwanamke
mmoja ambaye mpekuzi wetu toka Nigeria hakuweza kulitambua
jina lake amechomwa kisu jichoni na mume wake baada ya
kufumaniwa akigawa tunda kwa mwanaume mwingine ambaye ni rafiki
yake wa damu....
Inaarifiwa
kwamba, mume wake alipewa taarifa na jirani yao kwamba mkewe
yuko ndani na mwanaume mwingine ambaye ni rafiki yake....
Baada
ya taarifa hiyo, mume huyu alifunga safari kuelekea kwake na
akamkuta mkewe akisaliti penzi lao ndani ya kitanda chao..
Kitendo hicho kiliongeza hasira kwa jamaa huyo ambaye alijikuta akimchoma mkewe kisu jichoni.
No comments:
Post a Comment