TANZANIA YA TATU KWA ULEVI
Ni saa nne asubuhi, asilimia kubwa ya
wakazi wa kijiji cha Chikunja, wilayani Masasi, wameshawasili kwa Binti
Palanga, wakinywa pombe aina ya gongo. Wengine wameketi chini ya
mkorosho wakinywa chibuku, na baadhi wapo katika kikundi wakishirikiana
kopo lililojaa pombe maarufu ya wanzuki.
Si kijiji cha Chikunja pekee, haya
ndiyo maisha ya wakazi wa maeneo mengi nchini Tanzania ambao takwimu
zinaonyesha wanakunywa zaidi pombe za kienyeji kuliko wale wanywaji wa
pombe nyingine zinazotengenezwa viwandan
No comments:
Post a Comment