POLISI mjini Narok nchini Kenya wanamshikiria mwanamke mmoja
aliyenaswa akiwa na mavazi ya kitawa akikusanya fedha kutoka kwa watu
wenye mapenzi mema akidanganya kuwa ni sister. Mwanamke huyo alikuwa
akikusanya misaada ili aweze kurudi katika konventi alipotokea mpaka
hapo aliposhutukiwa kuwa hakuwa mtawa. Alipopekuliwa nyumbani kwake
alikutwa na vitambulisho kadhaa. Mpaka ananaswa, sister huyo alikuwa
amewatapeli watu kadhaa na anatarajiwa kufikishwa mbele ya sheria kesho.
Habari / Picha: KTN
Habari / Picha: KTN
No comments:
Post a Comment