MAMBA AINGIA UVUNGUNI MWA KITANDA
Katika hali isiyo ya kawaida mamba
mkubwa mwenye futi 8 amezua tafrani baada ya kuingia chini ya kitanda
cha Mkurugenzi wa hoteli moja ya kitalii iitwayo Humani iliyopo
pembezoni mwa mto Turgwe huko nchini Zimbabwe na kukaa zaidi ya masaa 8
No comments:
Post a Comment