Mabao ya Yanga yamefungwa na Said Bahanuzi dakika ya 24, Jerryson Tegete dakika ya 80 na Hussein Javu katika dakika ya 87, wakati lile la Mtibwa lilifungwa na Shaban Kisiga dakika ya 57.
Kikosi cha Yanga kilikuwa hivi:
1. Deogratius Munishi 'Dida' 2.Juma Abdul 3.Oscar Joshua 4.Nadir Haroub 'Cannavaro' 5.Issa Ngao 6.Athuman Idd 'Chuji' 7.Said Bahanuzi 8.Salum Telela 9.Jerson Tegete 10. Shaban Kondo na 11.Haruna Niyonzima.
Walioanzia benchi ni 1.Ally Mustapha 'Barthez' 2.Yusuph Abdul 3.Ibrahim Job 4.David Luhende 5.Rajab Zahir 6.Bakari Masoud 7.Hussein Javu 8.Abdallah Muhi 9.Nizar Khalfani na 10.Hamis Kiiza.
TASWIRA ZAIDI ZA MTANANGE HUO:
(PICHA NA RICHARD
No comments:
Post a Comment