Helikopta
maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman
Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika walipowasili
eneo la Mnada Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza kufanya mkutano wa
hadhara wilayani humo mwishoni mwa Juma. (Picha na Zainul Mzige)
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la
Hai, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakazi wa wilaya ya Sengerema Mkoa wa
Mwanza mwishoni mwa juma kwenye mkutano wa hadhara.
No comments:
Post a Comment