Habari ziwafikie, Mama Mdogo wa Marehemu, Mary Nathan wa Kinyenze Kipera Mkoani Morogoro, Kaka wa Marehemu Bosco Kitosi wa Mwanza,Doris KitosiA wa Iringa, Bibi wa Marehemu,Balozi Christina Shogholo wa Kisiwani Same-Kilimanjaro, Mjomba John Mgonja wa Kabuku Tanga, Ukoo wote wa Mwakitosi na Shogholo, Ndugu Jamaa na Marafiki popote pale walipo. Marehemu ameacha Mume na watoto wawili, Sanden na Sabri.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA
LIHIMIDIWE. AMEN.
No comments:
Post a Comment