Tuesday, August 6, 2013

MBUYU TWITTE BADO YUPO SANA JANGWANI

Mbuyu Twite akinyoosha goti lake wakati wa mazoezi leo.
Mbuyu Twite akijifua na wachezaji wenzake.
Mshambuliaji Jerryson Tegete akiugulia chini…
Mbuyu Twite akinyoosha goti lake wakati wa mazoezi leo.
Mbuyu Twite akijifua na wachezaji wenzake.
Mshambuliaji Jerryson Tegete akiugulia chini muda mfupi baada ya kujikwaa wakati wa mazoezi.
  Saidi Bahanuzi na Didier Kavumbagu (kushoto) wakichuana kuwania mpira kwenye mazoezi hayo.
Jeryson Tegete (kushoto) na Bahanuzi wakipambana kuwania mpira.
Mlinda mlango Ally Mustapha ‘Barthez’, akiugulia maumivu baada ya kuguswa na mpira sehemu nyeti.
Yanga wakiomba dua baada ya mazoezi.
Beki wa Yanga, Mbuyu Twite hatimaye leo ameibukia kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Secondari Loyola iliyopo Mabibo jijini Dar es Salaam. Kuibuka kwa Mbuyu Twite aliyekuwa majeruhi kwa muda akisumbuliwa na goti kumeleta hamasa kwa baadhi ya mashabiki wa timu hiyo hususani wale waliyokuwa ndani ya uwanja huo wakishuhudia mazoezi.

(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

No comments:

Post a Comment