Ni mkali wa bongofleva ambae mpaka sasa ndio msanii wa kiume wa bongofleva alieongoza kwa kuandikwa sana kwenye magazeti pendwa na pia kwenye Internet kwa mwaka 2013.
Diamond Platnums ambae alikiri kupitia XXL ya Clouds FM June 2013 kwamba dili la Cocacola limemlipa zaidi ya MILIONI 100 za Kitanzania, ameshea na sisi pichaz za nyumba yake anayoijenga Mbezi Dar e salaam..
Toka kwa millard ayo.com
No comments:
Post a Comment