Mtabiri
mwandamizi wa Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania Bwana Augustine Kanemba
akielezea namna kifaa kilichodhaniwa kuwa bomu kinachoitwa Radio Soundr
kinavyotumika kufanya kazi kwenye shughuli za anga,kushoto ni kamanda wa
polisi kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova.
No comments:
Post a Comment