Thursday, July 4, 2013

SAI BABA LAPATA AJARI

.
.
Ni watu 30 wamenusurika kifo huku 21 wakipata majeraha mbalimbali wakiwa kwenye basi la Saibaba lilipota ajali likitokea Dar es salaam kwenda Songea kwenye eneo la Vigwaza mkoani Pwani.
Polisi wanasema ajali imetokea asubuhi baada ya hili basi hilo likiwa na abiria 51 kutaka kulipita gari jingine likiwa kwenye mwendo kasi lakini likamshinda dereva na kupinduka ambako haraka majeruhi walikimbizwa hospitali ya Tumbi Kibaha.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment