Baada ya kuwasili Tanzania na kufanikiwa kuchukua matukio muhimu kama kumbukumbu kwenye utalii alioufanya Serengeti Tanzania, Oprah alishea pichaz mbalimbali kupitia page yake ya Instagram ambayo ina zaidi ya followers milioni moja na nusu, ungana nae hii post kutazama kuanzia picha yake ya kwanza mpaka ya mwisho kuhusu safari yake ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment