Thursday, July 11, 2013

Mama wa mkongwe wa Hip Hop nchini Joseph Haule "Profesa Jay" Amefariki Dunia

prof Jy 08a67
Tunatoa salaam zetu za rambirambi kwa mkongwe wa Hip Hop nchini, Joseph Haule "Profesa Jay" kwa kumpoteza mama yake mzazi Rosemary Majanjara katika ajali ya gari maeneo ya Mbezi mwisho. Tunaipa pole familia na ndugu zake wa karibu katika kipindi hiki kigumu.

No comments:

Post a Comment