MSANII
nguli wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' akifanya mazoezi ndani ya The
Atriums Hotel kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wa ndondi kati yake
na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam, Julai 7 mwaka huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini.
(Picha na Denis Mtima/GPL)
(Picha na Denis Mtima/GPL)
No comments:
Post a Comment