Friday, July 19, 2013

DIAMOND AFUTURISHA




Mwengi Ally Shem Lake akisababisha mambo jikoni.....
Esmah Khan mwenyewe....
Recho kizungu zungu akishugulikia mahanjumati....
Dada zangu hao wawili wakishugulika......Watoto wa kimanyema
Vyanda vyandani sasaaa....
Bi Sandrah akiweka sawa vitu......
bado dakika kadhaa tushuke ulingoni...hahaha
Tukiwa tumekusanyika kwa pamoja tayari kupata Iftar
Hapana chezea MAHANJUMATI haya 
bhana yaliyopikwa yakapikika....
Time hii amna stori ni mikono na midomo inacheza tu stori baadae...
Mwasiti nae alikuwepo.......
Hamza Bala nae hakukosekana....
Weee sibanduki hapa kabisa ni kung'ata ng'ata tu.....
Dumi mwenye utamu wake.....
Darleen,Mwasiti & Recho...
Njooo na wewe tujumuike ama niniii..?

No comments:

Post a Comment