Tuesday, June 25, 2013

WADAKWA NA BASTOLA WAKIWA NA BOXER



Mmoja wa askali kanzu akiwa na bastola aliyoikama jijini Dar es salaam 
Ofisa wa Polisi aliyefika katika eneo la tukio akijaribu bastola waliyokutwa nayo watu wawili waliokuwa katika Pikipiki katika makutano ya barabara ya Samora na Makunganya, Posta Mpya jirani na Benki ya Bosta leo.
Mmoja wa watu ambao wamekamatwa na bastola hiyo
Baadhi ya watu wakishuhudia tukio hilo.

Askari kanzu (kulia) akiwa ameshika bastola aliyokutwa nayo mtu mmoja aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usaji T 961 CJW katika mtaa wa Makunganya jirani kabisa na benki ya Posta jijini Dar es Salaam mchana huu. Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya ujambazi wa kutumia pikipiki Polisi wameimarisha ulinzi na hasa katika maeneo ya mabenki. Picha na ipshamediaBlog)

No comments:

Post a Comment