Wednesday, June 26, 2013

TOFAUTI YA CHADEMA v/s CCM

WAPENZI WA CHAMA
CHADEMA CCM
Wapenzi wengi wa chama ni wananchi wa kawaida na masikini sana wanaotaka maisha yenye nafuu kidogo Wapenzi wake wengi ni watu walioko kwenye system wanaopambana kuzilinda nafasi zao kwa njia yeyote ile.
ULINZI
CHADEMA CCM
Chama na viongozi hulindwa na vijana dhoofu ili hali (wasiio na silaha yoyote) ila wenye za kichwani .Huifanya kazi hii kwa kushirikiana na wananchi wakawada. Hulindwa na vyombo rasmi ikiwemo vyombo vya usalama vya serikali vyenye nyenzo za kisasa.
VIONGOZI WAKE
CHADEMA CCM
Wanapenda kuchanganika na wananchi wa kawaida hata kama ni kwenye dala dala. Wanapenda kuishi maisha ya juu na yakutukuzwa zaidi.
Niwanyenyekevu Sana kwa wananchi Wakati Fulani huwatisha wananchi hasa wanaofikiri kinyume na wao.
KAMPENI
CHADEMA CCM
Wananchi huhudhuria mikutano kwa baahati nasibu tuu baada ya kutangaziwa. Wahudhuriaji hukusanywa na kupelekwa kwa mabasi kwenye mkutano na kisha kupatiwa posho ya kujikimu.
Wananchi ndio huwachangia wagombea ili waweze kufanya kampeni. Wagombea ndio huwapa wananchi kitu kidogo ili waweze kuwachagua.
Hueleza jinsi Serikali inayoongozwa na CCM, ilivyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Huilamu CHADEMA kwa kurudisha nyuma maendeleo ya nchi (japo wao ni wapinzani tu).
KATIKA KUONGOZA SERIKALI
CHADEMA CCM
Ni Chama cha upinzani (ambacho sera zake haziwajibiki kutekelezwa)japo kwa kiwango kikubwa ndizo zinazotekelezwa.Mf; Mchakato wa katiba mpya Ni Chama tawala (ambacho sera zake ndizo zinatakiwa zitekelezwe) ila wanapobanwa wanatekeleza za CHADEMA kwa kuwa hoja za CHADEMA zinakuwa nzito mno.
BUNGENI
CHADEMA CCM
Wanapenda kuhoji mambo hata kama jambo linaonekana kuwa dogo. Wana gonga meza hata msemaji anapotaja wilaya za Tanzania (mradi tu msemaji awe CCM).
Wote Wako makini wakati wote. Wengine wanasinzia, wanaongea, wanachat isipokuwa wachache tu ndio wanakuwa makini wakati wote.
UWAZI
CHADEMA CCM
Ni wawazi sana na inapotokea jambo lenye utata kidogo tu wanakuja JF, au kuita vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi. Ni wagumu wakutolea mambo ufafanuzi hadi waone hakuna tena ujanja .Wakati Fulani hata wakialikwa kwenye midahalo hawahudhurii.

No comments:

Post a Comment