Saida Kalori ameongea na millardayo.com akiwa wilaya ya Mbeya na kusema amekua akipigiwa simu nyingi sana watu wakitaka kujua kama kafariki kweli, amekua akiambiwa taarifa mbalimbali kuhusu kifo chake… wengine wanasema kapata ajali ya boti iliyozama, wengine kapata ajali ya gari lakini ukweli ni kwamba hakuna lolote lililomtokea, ni mzima wa Afya.
(Millardayo-Saida) "Nimepigiwa simu zaidi ya 250 kutoka kwa watu mbalimbali kati ya saa 12 jioni na 9 usiku mpaka simu ikazima"Chanzo: millardayo.com
No comments:
Post a Comment