Saturday, June 22, 2013

MNARA WA DR. KRELUU

 Huu  ni mnala  wa aliyekuwa mkuu  wa mkoa  wa Iringa marehemu Dr Kreluu aliyeuwawa  kwa  kupigwa risasi na mzee Mwamwindi
Wakazi wa Mkungugu tarafa ya  Isimani  wilaya ya  Iringa vijijini  wakipita  jirani na mnala  wa aliyekuwa mkuu  wa mkoa  wa Iringa marehemu Dr Kreluu aliyeuwawa kwa  kupigwa  risasi na marehemu Mwamwindi  aliyehukumiwa  kunyongwa.
Na Mzee wa Matukio Daima.

No comments:

Post a Comment