MSIGWA

KISIWA CHA MATUKIO NA KUPASHANA HABARI

Monday, June 24, 2013

JOYCE KIRIA AHOJI ALIKO MMEWE





Mtangazaji wa televisheni ya Chanel 5 EATV Joyce Kiria akiwa amewashikilia watoto wake Lingatone Kileo kulia na Lincorn wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika mtaa wa Samora na kupaza sauti kuomba msaada kwa Rais Jakaya Kikwete na watanzania kwa ujumla ili kusaidiwa na kujua aliko mume wake Henry Kileo ambaye inadaiwa amepelekwa Igunga akituhumiwa na kesi huko Joyce Kiria amesema mpaka sasa hajaambiwa kama mume wake yuko wapi hivyo hata kama ana makosa anaomba afahamishwe kwani hajui kinachoendelea mpaka sasa






Joyce Kiria akifafanua mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam huku akiwa amewabeba watoto wake na ndugu zake wengine wakiwa na mambongo yenye ujumbe mbalimbali






Joyce Kiria akendelea kujibu maswali kadhaa ya wanahabari wakati akizungumza nao leo jijini dar es salaam.
COPYRIGHT, MSIGWA BLOG 10:57 PM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FIDELIS MSIGWA

FIDELIS MSIGWA

TAFUTA HABARI

ZILIZO TUFIKIA

  • JK AAGA KIKOSI CHA KWENDA DRC
  • AJALI MBAYA MORO ROAD SIKU YA MAHAFARI YA MZUMBE
  • MAREKANI YATOA ONYO KALI MSAFARA WA OBAMA
Copyright 2013 Msigwa Blog. All Rights Reserved.. Picture Window theme. Powered by Blogger.