Sunday, June 23, 2013

JK AKIWA MORO

 Rais  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Telesphori Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uaskofu wake (Silver Jubilee) zilizofanyika katika viwanja vya St. Peters Junior Seminary mjini Morogoro. 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Katoliki wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 25 (Silver Jubilee) ya Uaskofu wa Askofu Telesphori Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro zilizofanyika katika Viwanja vya Seminary ya St. Peters mjini Morogoro.…

No comments:

Post a Comment