Fred akifunga bao
Rooney akifunga bao la kusawazisha
ENGLAND imetoa sare ya 2-2 na Brazili ingawa England ilizidiwa mchezo kwa saa moja au zaidi.
Katika mchezo huo, mabao ya England
yalifungwa na Oxlade-Chamberlain dakika ya 67 na Wayne Rooney dakika ya
79, wakati ya Brazil yalifungwa na Fred dakika ya 57 na Paulinho dakika
ya 82.
Kikosi cha England kilikuwa: Hart,
Johnson/Oxlade-Chamberlain dk61, Cahill, Jagielka, Baines/Cole dk31
Walcott/Rodwell dk84, Jones, Carrick, Lampard (Nahodha) Milner na
Rooney.
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Filipe/Marcelo dk45, Luiz Paulinho/Bernard dk83, Oscar/Lucas Moura dk56, Hulk/Fernando dk72, Fred/Leandro Damiao na Neymar. Gustavo/Hernanes dk45.
No comments:
Post a Comment