Thursday, June 6, 2013

AZIMIA AKIMUAGA MANGWEA

 
Mrembo aliyepoteza fahamu akipatiwa huduma ya kwanza.

 
...Akizidi kupatiwa huduma.

 
...Akibebwa kwa huduma…

 
Mrembo aliyepoteza fahamu akipatiwa huduma ya kwanza.

 
...Akizidi kupatiwa huduma.

 
...Akibebwa kwa huduma zaidi.

 
...Akitolewa uwanjani.

Mwanadada huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja alipoteza fahamu baada ya kuuaga mwili wa msanii mahiri wa Muziki wa Kipya, Albert Kenneth Mangweha leo katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
(PICHA : DUSTAN SHEKIDELE NA MUSA MATEJA / GPL)

No comments:

Post a Comment