Thursday, May 30, 2013

TUMBO LIMEBEBA WATOTO 5 HILI

Maajabu ya Mungu....~:

Nchini Czech republic, mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 23 ndo wakwanza humo nchini kupata (quintuplets) ujauzito wa watoto watano kwa mpigo katika njia ya kawaida. Anatarajiwa kujifungua kwa njia ya upasuaji (caesarian section) wiki hiii!

No comments:

Post a Comment