Polisi mkoani Iringa wakiwa Doria Barabara ya mtaa wa Mashine tatu kuzuia wafanyabiashara maarufu kwa jina la machinga ambao wamezuiliwa kufanya biashara katika barabara hiyo siku ya jumapili kama walivyokuwa wanafanya awali. Pia polisi wanafanya doria kwa kuzunguka mitaa ya kata ya miyomboni katika kukabiliana na machinga hao. Chanzo: mjengwablog, Iringa
Polisi wakiwa eneo la mtaa wa mashine tatu.
Doria mashine tatu
No comments:
Post a Comment