Thursday, May 2, 2013

HILI NI LILE GAZETI LA ZAMANI?

8E9U2541Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Gazeti la Mfanyakazi wakati wa kilele cha Sherehe ya Sikukuu ya Wafanyakazi,Mei mosi zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa michezo wa Sokoine mkoani Mbeya.kushoto ni Kaimu Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Bi.Nortiburga Maskini na kulia ni Katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ndugu Nicholaus Mgaya(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment