Kufuatia vurugu za wamachinga IRINGA, Polisi Mkoani humo leo wamemkamata Diwani wa kata ya Mivinjeni FRANK NYALUSI(CHADEMA) nakufanya idadi ya waliokamatwa kufuatia sakata hilo kufikia 77.PICHANI Diwani FRENK akiwahutubia wananchi kwenye moja ya mikutano yake ya kichama. Toka kwa Mjengwa.
No comments:
Post a Comment