Thursday, May 2, 2013

CHEKA AENDELEZA UBABE

Picture 1442 2263f
Bondia Cosmas Cheka kushoto akipambana na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya mei mosi Cheka alishinda kwa ponti mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Picture 1613 4e039
Thomas Mashali akidondoka nje ya ulingo baada ya kupigwa konde la Cheka.
...Mashali akijaribu kurudi uwanjani bila mafanikio.…
Thomas Mashali akidondoka nje ya ulingo baada ya kupigwa konde la Cheka.
...Mashali akijaribu kurudi uwanjani bila mafanikio.
...Akisaidiwa kurudi ulingoni na mwamuzi.

No comments:

Post a Comment